

Mwanafunzi mwerevu apata alama 0 !
Maelfu ya wazazi na wanafunzi wamejitokeza kumuunga mkono mwanafunzi mmoja shupavu aliyepata sufuri katika mtihani wake wote wa mwisho....


Kenya yaanzisha operesheni kuzima Alshabab
Operesheni hiyo inayoendeshwa na vikosi maalum vya kupambana na ugaidi kwa ushirikiano na jeshi la taifa linalenga wapiganaji takriban...


Wahamiaji zaidi kusafiri kwenda Austria
Utawala nchini Austria unasema kuwa utatoa treni zaidi hii leo kusafarisha wahamiaji kutoka nchini Hungary ambapo wengi walikwama kwa...


Mashambulizi yapamba moto Yemen
Ripoti kutoka nchini Yemen zinasema kuwa muungano unaongozwa na Saudi Arabia umefanya mashambulizi ya angani kwenye mji mkuu wa nchi hiyo...


Kocha Nigeria aukubali mziki wa Stars
Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh amesema hakutegemea kukutana na upinzani mkubwa kama alioupata katika kikosi cha Taifa Stars. Stars...


Baba wa mtoto aliyekufa akataa hifadhi
Baba wa mtoto kutoka nchini Syria ambaye alikufa maji wiki hii na kuzua changamoto za kutaka kuchukuliwa hatua za kutatua suala la...


Man Utd 'hawaelewi kuhama kwa wachezaji'
Rais wa kilabu ya Real Madrid amesema Manchester United hawana uzoefu kuhusu kuhama kwa wachezaji na ndiyo sababu uhamisho wa David De...


Austria leo kupokea wahamiaji 10,000
Austria imesema inatarajia kupokea wahamiaji wapatao 10,000 wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Syria ambao wataingia katika nchi hiyo...