

Mtoto aliyeopolewa baharini azikwa Syria
Miili ya mvulana mmoja kutoka Syria, Allan Kurdi na watu wengine kutoka familia yake imezikwa mjini Kobane nchini Syria, baada ya...


Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya
Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya. Msemaji wa shirika la...


Mwanajeshi apatikana na hatia ya dhuluma za ngono
Umoja wa Mataifa umesema kuwa mwanajeshi mmoja wa kikosi chake cha kutunza amani, nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati, kutoka Ufaransa...


Cameron kutoa msimamo kuhusu wahamiaji
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anatarajiwa kutangaza mipango hapo baadae ya kuongeza idadi ya Wakimbizi kuingia nchini humo....


Atupwa jela kwa kutosaini cheti cha ndoa
Jaji mmoja nchini Marekani, ameagiza afisa mmoja wa serikali katika jimbo la Kentucky, kufungwa jela, baada ya kukataa kutekeleza agizo...


Jua kwa kupata tiketi ya Stars Vs Nigeria hapa>>>>>
Maandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Nigeria (Super Eagles) yamekamilika, ambapo leo Shirikisho la Mpira wa Miguu...


Ulimwengu, Samatta waanza kazi Stars
Wachezaji watatu wa kimataifa wa Tanzania wanacheza soka la kulipwa nje ya nchi, Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) Thomas...


Misri yarejea katika 50 bora Fifa
Misri imerejea tena katika kundi la mataifa 50 bora kwa soka duniani kwenye orodha ya Fifa ya mwezi Septemba. Taifa hilo lilipanda hatua...


Enyema ajiondoa kutoka kikosi cha Nigeria
Kipa wa Nigeria Vincent Enyema, amejiondoa kutoka kwa kikosi cha Nigeria, kitakachoshiriki katika mechi ya kufuzu kwa fainali ya kombe la...


Mamilioni ya watoto waathiriwa na vita
Umoja wa Mataifa umesema kuwa mizozo inayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, umesababisha zaidi ya watoto milioni 13 kukosa elimu....