

Kocha Simba ataka kuwaadhibu African Sports kuwaziba midomo Yanga na Azam
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Muingereza, Dylan Kerr, amesema kwamba kikosi chake kimepanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu...


Mechi za mwanzo za Ufunguzi wa ligi kuu bara jumamosi
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika...


Aliyeiba mtoto miaka 18 iliyopita anaswa
Mwanamke mmoja ameshtakiwa kwa kosa la kuiba mtoto wa miaka mitatu kutoka kwa kitanda cha hospitali miaka 18 iliyopita. Mwanamke huyo...


Msemaji wa upinzani auawa Burundi
Msemaji wa chama cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Bujumbura. Patrice Gahungu wa chama cha Union...


Bomu laua polisi 10 Uturuki
Takriban polisi 10 wa Uturuki wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya basi dogo mashariki mwa nchi hiyo ....


Yanga SC waiendea Coast Union bagamoyo, kazi ipo taifa J'pili
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC Jumatano wataingia kambini katika hoteli ya Kiromo, Bagamoyo mkoani Pwani kwa maandalizi ya mchezo wa...


African sports yatuma salamu msimbazi
Pamoja na kupoteza mechi yake ya kirafiki dhidi ya watani wake Coastal Union, African Sports imetuma salamu Msimbazi kwamba wajiandae....


Nimekuwekea matokeo ya mechi zote za kufuzu Afcon 2017
Algeria ilifunga kwa mara ya pili katika dakika ya tano za mwisho na kusajili ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya Lesotho katika...


Aliyeua simba Zimbabwe asema hakukosea
Raia wa Marekani aliyewinda na kumuua Simba maarufu nchini Zimbabwe, Cecil, amesema hakutenda kosa lolote. Daktari huyo wa meno Walter...