

Yanga SC yaingia kambini pemba leo, kujiandaa na mechi dhidi ya Simba
YANGA SC imeingia kambini Pemba leo kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC wiki ijayo. Ni mchezaji mmoja tu, kipa...


CANAVARO: Kiiza acha kuchonga, tukutane uwanjani
Beki kisiki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, baada ya kusikia tambo za straika wa Simba, Mganda, Hamisi Kiiza, amemjibu kwa...


Kazi imeanza msimbazi, Hassan Dalali ashiriki kikao maalumu cha kuiua Yanga
Kazi imeanza. Hatimaye, Simba imepata ‘sumu’ hatari ya kuiteketeza Yanga katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa wikiendi ijayo...


Matokeo ya mechi za ligi kuu TZ Wikendi hii
MATOKEO MECHI ZA LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA Jumapili Sept 20, 2015 Mwadui FC 0-1 Azam FC Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC Simba SC 3-1...


Bocco aing'alisha Azam 1, dhidi ya Mwadui 0 ya julio, Bahanunzi atakata manungu
BAO pekee la Nahodha John Raphael Bocco limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji Mwadui FC Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga...


Kiiza apiga 3 Simba ikishinda 3-1 dhidi ya kagera sugar
Hamisi Kiiza ukipenda muite Diegeo, ameifungia Simba mabao matatu na kuizamisha Kagera Sugar kwa 3-0. Kiiza amefunga hat trick hiyo leo...


PICHAZ>>>Yanga kama ilivyozoeleka!! yashinda 4-1 dhidi ya Ruvu JKT
YANGA SC imetoa onyo kwa mahasimu wao, Simba SC kuelelea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuwatandika JKT Ruvu...


Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi
Tanzania imeisimamisha Malawi isiteketeze moto tani 2.6 ya pembe ya ndovu ilizonasa katika operesheni dhidi ya wawindaji haramu Shehena...