

Liberia imefanikiwa kutokomeza Ebola-WHO
Shirika la afya duniani WHO, limetangaza kwua taifa la Liberia, limefanikiwa kutokomeza Ugonjwa wa Ebola kwa mara ya pili. Mei mwaka huu...


Miili ya wanajeshi wa Uganda yawasili
Miili ya wanajeshi 10 wa Uganda, waliouawa na wapiganaji wa al-Shabaab, nchini Somalia imesafirishwa nyumbani. Msemaji wa jeshi, Kanali...


Chelsea yamtoa Moses Westham kwa mkopo
Mshambuliaji Mnigeria aliyetemwa kwenye kikosi cha Nigeria na kocha mpya Sunday Oliseh kwa ajili ya kuivaa timu ya taifa ya Tanzania,...


Segun Odegbami ajitosa Urais Fifa
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Segun Odegbami ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais katika chama cha soka duniani...


Vilabu Uingereza vyaweka rekodi mpya Usajili
Vilabu nchini Uingereza, vilivunja rekodi ya kutumia pesa nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Premier majira ya joto huku pesa...


Wanajeshi 50 wa AU wauawa Somalia
Takriban wanajeshi 50, wa kutunza amani wa Muungano wa Afrika, wengi wao kutoka Uganda, wanasadikika kuuawa kwenye shambulio,...


Mama abebwa akiwa ndani ya choo
Mwanamke mmoja aliyekuwa akitumia choo cha muda, alibebwa na kupelekwa sehemu nyingine wakati choo hicho kilipoinuliwa juu na tracta...


Watu 2 wauawa Bujumbura na wakimbizi waelekea TZ
Watu wawili wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia makabiliano makali ya risasi Jumanne Usiku. Kumekuwa na machufuko...


Yanga, Simba zakabidhiwa silaha tayari kwa maangamizi ligi kuu
Akikabidhi, Pamela alisema ni matumaini yake kuwa vilabu vyote viwili vitatunza vifaa vizuri na wachezaji watatumia vifaa vinavyohitajika...


Uhamisho wa De Gea wakwama
Uhamisho wa Golikipa David De Gea kutoka Manchester United kwenda Real Madrid ya Hispania umekwama dakika za mwisho kwa sababu ya...