

Treni iliyosheheni dhahabu yapatikana
Afisa mmoja wa serikali ya Poland, amesema kuwa ana imani kuwa treni moja ya kijeshi ambayo imefichwa tangu vita vya pili vya dunia,...


Waandishi wa Al Jazeera kuhukumiwa Misri
Mahakama nchini misri inatarajiwa kutoa hukumu yake hii leo kwenye kesi inayowakabili waandishi watatu wa kituo cha runinga cha Al...


Watoto 163 waachiliwa na waasi CAR
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto UNICEF, limesema kuwa makundi yaliyojihami nchini Jamuhuri ya Afrika ya...


Mafuriko yaua 20 Dominica
Waziri mkuu nchini Dominica anasema kuwa watu 20 wanariporitiwa kuaga dunia kwenye mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Erika. Kwa njia...


Alichokisema Zitto Kabwe mbele ya waandishi wa habari leo!!!>>>
Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza...


Azam yaungana na Simba kupinga Sh.Mil 4 za wachezaji wa kigeni
Dalili za mvurugano kati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na klabu za Ligi Kuu Bara zinaonekana kunukia ambapo klabu zimejitokeza...


Licha ya kuonyesha soka safi, Stars yapoteza dhidi ya Libya
Taifa Stars imepoteza mechi yake ya kirafiki ya mazoezi dhidi ya Libya kwa kufungwa bao 2-1. Mechi hiyo maalum kwa ajili ya mazoezi...


Mshukiwa wa kike wa ugaidi asakwa-Kenya
Serikali ya Kenya imetoa zawadi ya $20,000 wa mtu yeyote atakaye toa habari za kukamatwa kwa mshukiwa mmoja wa ugaidi wa kike, Rukia...


Askofu aliyekabiliwa na kesi aaga dunia
Aliyekuwa Askofu wa kanisa la Katoliki kutoka Poland, ambaye alitarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai ya dhuluma za ngono amefariki....


Zaidi ya wahamiaji 200 waangamia Libya
Zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kufariki baada ya boti mbili iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu kuzama katika eneo la Zurawa pwani ya...