

Wakenya wafuzu kwa fainali ya mita 5000
Mashindano ya riadha ya duniani yanaendelea leo mjini Beijing Uchina. Katika mbio za mchujo za mita 5,000 kwa kina dada wanariadha wote...


Usain Bolt bingwa wa dunia wa mita 200
Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt, ameshinda medali yake ya pili ya dhahabu, katika mashindano ya riadha ya dunia yanayoendelea mjini...


Nkurunziza atoa wito kupambana na mauaji
Katika hotuba kwa taifa rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameonyesha hisia zake kuhusu kujumuisha vikosi vya usalama nchini humo. Hayo...


Man U yasonga mbele UEFA
Katika muendelezo wa mechi za mkondo wa pili kufuzu kwenye mashindano ya klabu bingwa barani Ulaya, usiku wa kuamkia leo timu kadhaa...


Yanga yaifuata Simba Z'bar
Kikosi cha Yanga, kitakaa Zanzibar kwa siku 7 kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara Zanzibar imekuwa ni maarufu kwa Simba kuweka kambi...


Dembele wa Mali atua simba kwa majaribio
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Mali, Makan Dembele amewasili nchini kwa majaribio ya kujiunga na klabu ya Simba SC. Makan na mshambuliaji...


Messi afunga Azam ikitoa sare na Mwadui ya Julio
WINGA Ramadhani Yahya Singano ‘Messi’ usiku huu amefunga bao lake la kwanza Azam FC ikilazimishwa sare ya 1-1 na Mwadui FC ya Shinyanga...


BUSUNGU: Hakuna wa kuizuia Yanga kutetea ubingwa!
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Malimi Busungu amesema kwamba wana kikosi kizuri ambacho kitatetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...


Uingereza na uhamiaji haramu
​ Serikali ya Uingereza itatangaza leo Jumanne mapendekezo mapya ya kukabiliana na suala tata la uhamiaji. Wahamiaji ambao watapatikana...


Hii ni mipango ya FC Barcelona kuhusu Neymar kuhamia Man United
Klabu ya Manchester United bado inasaka nyota kadhaa watakaojiunga na kikosi chao ili kuweza kuongeza nguvu na kucheza kwa kiwango cha...