

Nigeria mabingwa kikapu
Timu ya taifa ya Nigeria ya mchezo wa kikapu imetwaa ubingwa wa mpira wa kikapu barani Afrika baada ya kuichapa Angola . Nigeria imetwaa...


IS walipua madhabahu Syria
Wapiganaji wa dola ya kiislamu IS, wanadaiwa kulipua sehemu ya madhabahu ya kidini katika mji wa Syria wa Palmyra. Kundi la kutetea haki...


Makamanda wa Boko Haram wakamatwa
Idara ya ujasusi nchini Nigeria zinasema kuwa zimewakamata takriban makamanda ishirini wa kundi la Boko Haram Inasema pia kuwa wapiganaji...


Kumekucha Simba, Dembele asusa majaribio, Ndayisenga nae hasomeki!!!!
WAKATI dirisha la usajili Tanzania linafungwa Saa 6:00 usiku wa leo, viongozi Simba SC wanaumiza vichwa jinsi ya kukamilisha zoezi hilo-...


71 wafa Austria,mshukiwa wa 5 akamatwa
Polisi nchini Hungary wamemkamata mtu wa tano kufuatia vifo vya wahamiaji 71 waliopatikana ndani ya lori moja wiki iliyopita. Wanasema...


Kulala mchana kunazuia mshutuko wa moyo
Uchunguzi unaonyesha kuwa kulala wakati wa mchana kunapunguza shinikizo la damu na pia kupunguza hatari ya kupatwa na mshutuko wa moyo...


Maandamano yaingia siku ya 2 Malaysia
Maelfu ya watu wanashiriki katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga serikali kwenye mji mkuu wa Malaysia Kuala Lumpur. Mamia...


PICHAZZ>>> Cheki wasanii waliojitokeza jagwani kumsikiliza Lowassa leo
Bahati Bukuku AT, Shmsa ford na jack wa chuz TIMBULO (Mwenye nyeusi) Ant Ezekiel


Liverpool, Chelsea zafungwa nyumbani
Liverpool na Chelsea zimeadhibiwa baada ya kupokea vichapo kutoka kwa wapinzani wao. Liverpool iliadhibiwa na wapinzani wao West Ham kwa...


Winfried Bony aumia mguu, Atembelea magongo
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ivory Coast, Wilfried Bony ataikosa mechi ya klabu yake, Manchester City dhidi ya Watford katika Ligi Kuu ya...