Alichokisema Zitto Kabwe mbele ya waandishi wa habari leo!!!>>>
- sembula
- Aug 28, 2015
- 1 min read

Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni zao.
Ufunguzi wa kampeni hizo utakaofanyika Agosti 30 katika viwanja vya Zakheem, Mbagala ambapo watamtambulisha Mgombea wao wa Urais.
ZITTO KABWE- ‘Sasa hivi tunaendelea na mafunzo ya wagombea Ubunge kupitia chama chetu ili waweze kufanana’
Comments