top of page

Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya

  • Writer: sembula
    sembula
  • Sep 4, 2015
  • 1 min read

Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya.

Msemaji wa shirika la kimataifa ya uhamiaji ameiambia BBC, kuwa wahamiaji wengine waliokuwa kwenye meli hiyo waliokolewa na wanajeshi wa majini wa Italia na wamepelekwa kisiwa cha Lampedusa.

Mwili wa mhamiaji mmoja pia uliopolewa baharini na kupelekwa katika kisiwa hicho


 
 
 

Comments


RECENT POSTS:
SEARCH BY TAGS:

© 2023 by NOMAD ON THE ROAD. Proudly created with Wix.com

  • b-facebook
  • Twitter Round
  • Instagram Black Round
bottom of page