Makamanda wa Boko Haram wakamatwa
- sembula
- Aug 31, 2015
- 1 min read

Idara ya ujasusi nchini Nigeria zinasema kuwa zimewakamata takriban makamanda ishirini wa kundi la Boko Haram
Inasema pia kuwa wapiganaji wengine wamekamatwa katika majimbo yaliyo kaskazini mwa nchi ya Kano, Gombe , Central Plateau, pamoja na maeneo ya Lagos Kusini na Enugu kati ya July na Agosti mwaka huu.
Image copyrightBoko Haram Video
Taarifa hiyo kutoka kwa idara ya huduma za kitaifa inasema kuwa kuhamahama kwa kundi hilo kumetokana na shinikizo kutoka kwa vikosi vya usalama katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi.
Comentarios