

PLUIJM:Hatujakaa vizuri, lakin kazi mtaiona tuu
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema ana imani na kikosi chake kuendelea kufanya vizuri ingawa kuna mambo kadhaa hajaridhika...


Wenger: Walcott ndiye tegemeo letu
Arsenal inaanza kampeni yake katika michuano ya vilabu bingwa Ulaya siku ya jumatano ikiwa itakabiliana na Dinamo Zagreb katika uwanja wa...


Upinzani waitisha maandamano DRC
Vyama kadhaa vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo vimeitisha maandamano katika mji mkuu wa taifa hilo Kinsasha dhidi ya...


MSUVA: Ni mwendo wa ubingwa na kiatu cha dhahabu jangwani!
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Happygod Msuva amesema kwamba anaomba Mungu amsaidie aiwezeshe timu yake...


Jeshi la Misri ladai kuua kimakosa
Misri imesema jeshi lake la ulinzi limeua raia 12 kwa bahati mbaya,wakiwemo watalii kutoka Mexico wakati wa operesheni ya kupambana na...


Matokeo yote ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara
Jumamosi Sept 12, 2015 Simba SC 1-0 African Sports Ndanda FC 1-1 Mgambo Shooting Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu Azam FC 2-1 Prisons Stand...


Ronaldo Apiga 5,Real madrid ikishinda 6-0 laliga
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo amefunga mabao matano peke yake, Real Madird ikiibuka na ushindi wa 6-0 ugenini dhidi ya...
Cheki dhoruba iliyoikumba Chelsea katika ligi kuu Uingereza leo>>
Everton 3-1 Chelsea.


Yanga SC: Tumekamilisha taratibu zote za kuwasajiri Ngoma, Kamusoko na watakwepo dimbani kesho
YANGA SC imesema hakuna shaka wachezaji wake wote wa kigeni watacheza mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya...