

TZ Prizins yaituliza mbeya city, Stand Utd na Mgambo zapeta
Pamoja na kuonekana inayumba, Prisons imeibuka na kutwanga Mbeya City kwa bao 1-0. Katika mechi ya Ligi Kuu Bara leo, Prisons imeibuka na...


Boko Haram wametimua watoto nusu milioni
Watoto nusu milioni wametoroka makwao kutokana na mashambulio ya kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram katika kipindi cha miezi...


Rais aliyepinduliwa Burkina Faso ‘huru’
Rais wa mpito wa Burkina Faso Michel Kafando aliyeondolewa mamlakani na kikosi cha walinzi wa rais ameachiliwa huru na yuko buheri wa...


Mechi zijazo za wikendi hii na ijayo ligi kuu Tz bara
Septemba 19, 2015 Stand United Vs African Sports Mgambo Shooting Vs Majimaji FC Prisons Vs Mbeya City Yanga SC Vs JKT Ruvu Septemba...


Mgosi: Yanga haituumizi kichwa, Ngoja tumalizane na kagera sugar.
NAHODHA wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi amesema kwamba akili zao zipo kwenye mechi yao ya Jumapili dhidi ya Kagera Sugar na hawaumizwi...


Luke Shaw kufanyiwa upasuaji
Mlinzi wa kushoto wa Man United Luke Shaw atafanyiwa upasuaji wa pili leo katika mguu wake uliovunjika. Shaw yuko katika hospital ya St...


Manji wa Yanga ashinda tuzo kubwa duniani, Akiwashinda matajiri wakubwa akiwemo tajiri wa kwanza Afr
Mwenyekiti wa makampuni ya Quality group, Yusuf Manji ameibuka mshindi wa tuzo maarufu ya Mfanyabiashara Gwiji Duniani. Manji ambaye ni...