top of page

Liverpool yasajiri Straiker kutoka Nigeria

  • Writer: sembula
    sembula
  • Sep 1, 2015
  • 1 min read

Klabu ya Liverpool ya Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa inamtaka kwa muda mrefu au inasajili mchezaji ambaye ni mbadala wa yule ilio mkosa. Jioni ya August 31 klabu ya Liverpool imetangaza kumsajili Taiwo Awoniyi.

Liverpool imemsajili Taiwo Awoniyi ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Nigeriaamezaliwa mwaka 1997 na alikuwa akichezea timu ya taifa ya Nigeria ya umri chini ya miaka 23 lakini imempeleka kwa mkopo katika klabu ya FSV Frankfurt ya Ujerumani.


 
 
 

Comments


RECENT POSTS:
SEARCH BY TAGS:

© 2023 by NOMAD ON THE ROAD. Proudly created with Wix.com

  • b-facebook
  • Twitter Round
  • Instagram Black Round
bottom of page