Beki ghali wa yanga f.c, ashuhudia timu yake ikinyanyua kombe akiwa benchi
- sembula
- Aug 23, 2015
- 1 min read

Beki mpya wa Yanga SC kutoka Togo, Vincent Bossou (katikati) anayedaiwa kusajiliwa kwa dola 100,000 za Kimarekani (Sh. Milioni 200) akifuatilia mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC akiwa benchi jana kwa dakika zote 90. Yanga SC ilishinda kwa penalti 8-7 kufuatia sare ya 0-0.
Comentarios